Makonda Aingilia Kati Sakala la Mabasi ya Mwendokasi..."Viongozi wa Mwendokasi Niwakute Kimara Stand"

Mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hafurahishwi na namna mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini humo unavyoendeshwa na kugeuka kuwa kero kwa wananchi badala ya kuwa msaaba kama yalivyokuwa matarajio ya Serikali na wananchi wake.Makonda amesema hayo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuwataka viongozi wanaosimamia mradi huo akutane nao kesho asubuhi katika stendi ya mabasi ya Mwendokasi eneo la Kimara.“Sifurahishwi na namna mradi wa mwendokasi unavyoendeshwa kwani matarajio ya Mh. Rais Magufuli ni kuona changamoto ya muda mrefu ya usafiri kwa wananchi wa Jiji...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News