Makonda atoa masharti kupokea ndege ya Serikali kesho

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa masharti kwa watu wanaopaswa kujitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa ajili ya mapokezi ya ndege ya Serikali aina ya Airbus A200-300  kesho Ijumaa Januari 11, 2019....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News