Makonda aungana na wanaomgwaya Lissu

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amedai kuwa mwanasiasa mashuhuri nchini kwa sasa, Tundu Lissu, asijadiliwe kwa kuwa hajaweza kupona majeraha ya risasi aliyonayo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na chombo kimoja cha habari hapa nchini Makonda amesema, Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki, hajapona kwa hivyo hana kumbukumbu nzuri. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Saturday, 16 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News