Makonda: Naomba Mniombee Niwe Kama Rais Magufuli

Mkuu wa Mko wa Dar es salaam, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini waweze kumuombea ili atimize ndoto ya kuwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli.Muda mfupi uliopita akizungumza katika mapokezi ya ndege aina ya Airbus A220-300 uwanja wa ndege, Makonda amewataka viongozi wa Dini kumuombea juu ya ndoto yake ya kuwa kama Rais Magufuli kwa kuwa ni mtu wa kutekeleza."Viongozi wa dini naomba mniombee, nataka nikikua niwe kama Rais Magufuli, haya ni maombi yangu kabisa, kwa sababu ni mtu wa kutekeleza, usiyeyumbishwa,umehakiksha Mungu kwanza...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News