MAKONTENA YA MAKONDA YADODA TENA

MNADA: Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Udalali ya Yono, Scholastica Kevela (katikati), akiongoza mnada wa makontena yenye samani mbalimbali zinazodaiwa kuingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Dar es Salaam jana. PICHA: IMANI NATHANIEL. Na Grace Shitundu WAKATI makontena 20 yenye samani za shule ambayo yanadaiwa kuwa ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yakipigwa mnada kwa mara ya tatu jana, wanunuzi wameshindwa kufika bei. Makontena hayo ambayo yanapigwa mnada na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart kwa idhini ya Mamlaka...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News