Makosa 12 Waliyosomewa Polisi na Watuhumiwa Waliokuwa Wakitorosha Dhahabu Mwanza

Askari polisi wanane wanaotuhumiwa kushiriki mpango wa kutorosha dhahabu kilo 319.59 zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 27 pamoja na wamiliki wa madini hayo, wamefikishwa mahakamani.Washtakiwa hao waliokamatwa Januari 4, mwaka huu, walifikishwa mahakamani kwa makosa 12 likiwemo la uhujumu uchumi.Walisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, Gwae Sumaye, na mawakili wa serikali Castuse Ndamgoba, Robert Kidando na Jackline Nyantori.Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa Januari 4, watuhumiwa wanne ambao ni Sajid Abdallah, Kisabo Nkinda, Emmanuel Kija na Hassan Sadick walitenda kosa la kuwapatia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News