Makusanyo Ya Kodi Kwa Kipindi Cha Miezi Tisa Ya Mwaka Wa Fedha 2018/19 (Julai 2018 – Machi 2019)

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi Trilioni 11.96 katika kipindi cha Miezi Tisa ya Mwaka wa Fedha 2018/19 ikiwa ni kuanzia Julai 2018 hadi Machi 2019.Katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2018/19 TRA, ilifanikiwa kukusanya Shilingi Trillioni 1.30 kwa mwezi wa Januari, Shilingi Trillioni 1.23 kwa mwezi wa Februari na kiasi cha Shilingi Trillioni 1.43 kwa mwezi wa Machi, 2019.Mamlaka ya Mapato Tanzania inawashukuru walipakodi wote waliochangia makusanyo hayo kwa kulipa kodi zao kwa hiari na kwa wakati na kuhimiza wale ambao bado wanasuasua...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News