Mali za Yusuf Manji Ikiwemo Jengo la Quality Centre Hatarini Kufilisiwa

Mali za mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji zenye thamani ya mabilioni ya shilingi ziko hatarini kufilisiwa baada ya kuwekwa chini ya wadhibiti na wakabidhi wasii ili kulipa madeni makubwa yanayodaiwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki na Kusini.Mali hizo ni pamoja na jengo maarufu jijini Dar es Salaam lijulikanalo kwa jina la Quality Centre.Taarifa zilizotolewa jana na wafisili na wakabidhi wasii hao chini ya Kampuni ya Price Water House Coopers (PWC), ilisema kuanzia jana, Manji hataruhusiwa kumiliki mali hizo hadi atakapolipa madeni hayo.Kwa mujibu wa taarifa hiyo mameneja wanaosimamia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News