Mama Aua Watoto Wake Sita Kwa Mapanga

Watoto sita wameuawa na wanne wamejeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga  na mwanamke aliyejulikana kwa jina la Nana Maganga (35 )  anayedaiwa kuwa na matatizo ya akili. .  Hata hivyo, mwanamke huyo ambaye ni  mkazi wa kijiji cha Luzuko kata ya Mizibaziba wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, naye aliuawa wakati akidhibitiwa na wananchi. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 11 alfajiri juzi. Aidha imefafanuliwa kuwa kati ya watoto hao sita, watano  ni wa kwake mwenyewe na mmoja ni mtoto wa kaka yake.Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Tabora Emmanuel Nley akithibitisha...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News