Mambosasa asema waliomteka Mo Dewji ni Wazungu

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amezungumzia tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji kuwa waliomteka ni Wazungu na watu watatu wanashikiliwa kwa mahojiano...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News