Man United: Duniani hakukaliki, Akhera hakuendeki

MCHEZO wa leo saa 4:00 usiku wa Ligi Kuu ya England kati ya Manchester United na Manchester City (Manchester Debby) kwenye uwanja wa Old Trafford, unawaweka njia panda mashabiki wa United. Anaandika Yusuf Abood (Babu Jongo) … (endelea). Niseme mapema tu kwa wale wasionijua, kwamba mimi ni mshabiki wa Liverpool, ingawa sio miongoni mwa wale ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News