Man United wamalizana na Mourinho

MANCHESTER, ENGLAND UONGOZI wa klabu ya Manchester United, umemalizana na aliyekuwa kocha wao, Jose Mourinho, kwa kumlipa kiasi cha pauni milioni 15, ambazo ni zaidi ya Sh bilioni 44 za Kitanzania. Kiasi hicho cha fedha wamemlipa ikiwa ni sehemu ya kuvunja mkataba wake Desemba 18, mwaka jana kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 55, alifukuzwa kazi baada ya kuwa ndani ya klabu hiyo kwa kipindi cha miaka miwili na nusu. Kulikuwa na taarifa kwamba, baada ya Mourinho kuvunjiwa mkataba, alikuwa hawezi kujiunga...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News