Manara akerwa na TFF kutumia neno hujuma kifungo cha meneja wa Simba

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya klabu ya Simba, Haji Manara ameonyesha kutofurahishwa na kitendo cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF kutumia neno hujuma katika kumpatia adhabu ya kumfungia mwaka mmoja kutojihusisha na mpira meneja wa timu hiyo, Richard Robert.Kupitia mahojiano na EFM radio, Manara amesema kuwa lugha ya hujuma iliyotumiwa na TFF siyo nzuri na wanapaswa kuangalia maneno ya kutumia.”Tunangojea kupokea barua alafu tutalitolea tamko kwa sababu Simba hatuwezi kulikalia kimya hili jambo tutasema ama kukata rufaa ama tutasema lakini kwanza tunasubiri barua,” amesema...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News