Manara awajibu wanaomsakama Kwamba Katemwa..... ataja wakati atakaoachia ngazi Simba

Baada ya kusambaa kwa tetesi nyingi kuwa Afisa Habari wa Simba, Haji Manara yuko mbioni kutemwa katika nafasi yake, mwenyewe ameibuka na kueleza kinagaubaga kuhusiana na taarifa hizo.Tetesi hizo zilisambaa mara baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simba Sports Club, Mohamed Dewji 'Mo' kuitisha mkutano na wanahabari, Ijumaa Februari 8 kuhusiana na masuala mbalimbali ya klabu hiyo pamoja na maandalizi ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara amesema kuwa anafahamu kuwa mashabiki wengi hasa wa Yanga wanapenda asiendelee...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News