Mane akitulia Liverpool itatulia pia

Msimu uliopita Firmino alifanya kazi kubwa nyuma ya kivuli cha Mo Salah. Msimu Liverpool inaonekana kama imebalansi kiasi fulani. Walio wengi wanamtizama zaidi Van Djik ambaye anaonekana amesimama imara. Kwa upande wangu mafanikio ya Liverpool yapo kwenye utimamu wa akili na ufanisi mzuri wa makadirio yame awapo katika eneo la kufanya maamuzi. Mane ana nguvu kuliko Firmino na Salah Mane anakasi kuliko Firmino Mane anapiga chenga na ni mjanja Shida ya Mane ni utimamu wa maamuzi. Kama Mane huyu ambaye jina lake limefifia kama ngozi yake kwenye midomo ya wazungu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News