Maofisa Simba kushuhudia droo ya robo fainali misri

Elizabeth Joachim, Dar es salaam Ofisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori na Mwenyekiti wa Simba, Swedi Mkwabi, wapo nchini misri kuhudhuria hafla ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Machi 20 iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika [CUF] Viongozi hao wa Simba waliondoka Tanzania Machi 19 kwenda nchini Misri kwa ajili ya kushuhudia droo hiyo baada ya kuvuka hatua ya robo fainali baa ya kuifunga bao 2-1 timu ya kutoka Congo, DRC. Katika taarifa iliyotolewa na klabu ya Simba Machi 19 Jijini Dar es Salaam imeeleza kwamba viongozi hao...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 19 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News