Marais wastaafu wafarakana vikali hadharani Botswana

Rais mstaafu wa Botswana, Mzee Festus Mogae, mwanzoni mwa mwaka huu ajitenga waziwazi kutoka kwa mtu ambaye alimteua kutoka katika Jeshi la nchi hiyo, ili aweze kumrithi katika kiti cha urais wa nchi hiyo yenye utulivu mkubwa wa kiuchumi na demokrasia ya kujivunia katika Afrika....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News