MAREKANI YATISHIA KUIWEKEA VIKWAZO ICC

WASHINGTON, MAREKANI Serikali ya Marekani imetishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wake. Mahakama hiyo kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Marekani kwa madai ya kuwatesa wafungwa nchini Afghanistan. Mshauri wa masuala ya usalama ya taifa, John Bolton, amesema mahakama hiyo si halali na kuapa kuwa Marekani itafanya kila iwezalo kuwalinda raia wake. Marekani ni kati ya nchi kadhaa ambazo hazijajiunga na ICC ilihali imekuwa mstari wa mbele kushinikiza viongozi fulani wa mataifa mengine hasa Afrika kushtakiwa. Novemba...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News