Marekani Yatoa Onyo Kuhusu Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania

Serikali ya Marekani imetoa tamko la kusikitishwa kwa kile ilichoeleza kuwa ni kushamili  kwa matukio ya mashambulizi. ==>>Soma taarifa hiyo zaidi iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani TanzaniaSerikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga mazingira ya vurugu, vitisho na ubaguzi. Tunahuzunishwa na hatua za ukamataji watu unaoendelea na unyanyasaji wa makundi maalum, wakiwemo mashoga, na wengine wanaotaka kutumia haki zao za uhuru wa kujieleza, kushiriki na kukusanyika. Vyombo vya kisheria...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News