Mario Balotelli aibuka na jipya, achelewa mazoezini lakini arejea na kilo 100

Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa na mjasili haachi asili hii ni ukiwaza alichochanya moja washambuliaji watukutu ulimwenguni Mario Balotelli. Sasa wakati Mario Balotelli klabu anayoichezea ya Nice alichelewa kufika mazoezini na akafika baada ya wiki 2 wakati wakifanya mazoezi ya msimu huu wa Ligue 1. Watu wa karibu na Balotelli wanasema sababu ya kuchelewa mazoezini kwa wiki mbili ni kutokana na kutumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu aliyoipata mwanzoni mwa ligi akawa anaona ni bora asiende mazoezini. Lakini pamoja na kurudi mazoezini baada ya wiki mbili, Mario Balotelli...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News