Martial arejeshwa tena Ufaransa

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, ametaja kikosi kwaajili ya kujiandaa na mechi za kufuzu Euro mwaka 2020 Winga wa Manchester United, Anthony Martial amerudishwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwaajili ya mechi za kufuzu Euro dhidi ya Maldova na Iceland. Martial aliachwa na kikosi cha Ufaransa kilichoshinda ubingwa wa Kombe la Dunia katika majira ya kiangazi mwaka 2018. MAKIPA: A. Areola, H. Lloris na S. Mandanda MABEKI: L. Digne, B. Pavard, R. Varane, P. Kimpembe, D. Sidibe, K. Zouma, L. Kouzawa na S. Umtiti VIUNGO: B. Matuidi, M. Sissoko, T. Ndombele,...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News