Marufuku ya mifuko ya plastiki yaibua wafanyabiashara

ANDREW MSECHU-DAR ES SALAAM WAFANYABIASHARA wa mifuko ya plastiki wameiomba Serikali kuangalia upya hatua yake ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko hiyo, kwa kuwa itaathiri soko la ajira itokanayo na mifuko hiyo. Marufuku hiyo ilitangazwa rasmi Aprili 9, mwaka huu na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ambaye alisema Serikali imetangaza marufuku ya kutengeneza, kuuza, kuingiza na kutumia mifuko yote ya plastiki baada ya Mei 31 mwaka huu. Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mifuko ya Plastiki, Ramadhani Mussa alisema wamepokea marufuku hiyo kwa mshtuko mkubwa kwa kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News