Masauni aongoza Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoa elimu ya Usalama Barabarani Zanzibar

 Naibu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimuelekeza dereva bodaboda jinsi ya kufunga kofia ngumu wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na dereva wa daladala  wakati wa utoaji...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News