Masele ashusha mashambulizi

STEPHEN Masele, Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hana tabia ya kueleza jambo kwa namna anavyopenda mtu isipokuwa kwa uhalisia wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). “…kama unafikiri nitakwenda kukuambia kile unachotaka kusikia, siko hivyo kwasababu nitakwenda kukueleza kile ninachokiona,” ameandika Masele kwenye ukurasa wake ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News