Masele ataja sababu za kuwasiliana na Rais

Ramadhan Hassan,Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele, ameeleza sababu zilizomfanya awasiliane na Rais ,Waziri Mkuu baada ya kupokea barua ya Spika wa Bunge Job Ndugai iliyotaka kumvua madaraka katika Bunge la Afrika. Masele Jumatatu alihojiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutokana na maagizo ya Spika Ndugai kwamba ahojiwe kutokana na kufanya utovu wa nidhamu katika Bunge la Afrika. Akizungumza leo Mei 23 bungeni mara baada ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 23 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News