Masha anunua asilimia 68 ya hisa za Fastjet

Na ANDREW MSECHU WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, amenunua asilimia 64 ya hisa za kampuni ya ndege ya Fastjet Tanzania, hivyo kuongeza hisa zake kufikia asilimia 68 kutoka asilimia nne aliyokuwa akimiliki awali. Akizungumza na MTANZANIA jana, Ofisa Uhusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro, alisema Masha alinunua hisa hizo ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha na kuboresha kampuni hiyo, kuelekea katika mikakati mipya ya kuboresha huduma inayotarajiwa kuanza mwakani. Alisema Masha ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti Mtendaji wa Fastjet amenunua hisa hizo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News