Mashabiki wa Ronaldo na Lionel Messi, msikilizeni Gabrielle Union alivyowachana

Unamjua Gabrielle Union? Nyota wa movie inayotrend sana hivi sasa inayokwenda kwa jina la Breaking In lakini vile vile alikuwepo kwenye movie maarufu ya mambo ya mahusiano iitwayo Think Like A Man (1&2). Gabrielle pia ni mpenzi wa nyota mkubwa wa kikapu ncbinu Marekani Dwayne Wade na mwezi uliopita tarehe 30 walikuwa wakisheherekea anniversary ya miaka 4 ndoa yao. Sasa bwana jana baada ya ushindi wa mwanadada Naomi Osaka katika michuano ya Us Open, Gabrielle alijitokeza mtandaoni na kutoa sifa kem kem kwa Serena na Osaka. Na katika pongezi hiyo...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News