Mashabiki wampa mzuka Kimenya Lesotho

Kiraka wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Salum Kimenya amekoshwa na hamasa kubwa ya mashabiki Watanzania kuelekea mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani dhidi ya Lesotho utakaochezwa Jumapili, Novemba 18 huko Maseru, Lesotho....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News