MAVAZI YA MAKAMU WA RAIS YAMVUTIA ASKOFU

Na EDITHA KARLO-KIGOMA ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Free Pentecost Tanzania (FPCT), Ezra Mtamya, amewataka wanawake wa kikristo nchini kuvaa mavazi ya heshima kama ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan. Amesema kiongozi huyo ni kivutio kwa watu wengi kutokana na mwonekano na mavazi  yake yenye heshima mbel ya jamii. Hayo aliyasema jana mjini Kigoma kwenye Ibada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Mkuu Msaidizi na maaskofu wengine wanne wa kanisa hilo lilipo Mwanga, ambapo Askofu Mtamya alisema wanawake wanatakiwa kuvaa mavazi yanayositiri miili yao kwasababu kwa kufanya hivyo, wataendelea kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News