Mavunde aitaka jamii kusaida wenye ulemavu

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Antony Mavunde, ameitaka jamii kuunga mkono jitihada za Serikali kwa kuisaidia jamii ya watu wenye ulemavu kwa kuwapa elimu itakayowasaidia kujiepusha na madhara kama ajali za barabarani....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News