Mawakala wa mitandao ya simu wanaofanya kazi kinyume na sheria wawindwa na TCRA

Na Hawa Ally, ZanzibarMAMLAKA ya mawasiliano Tanzania TCRA ofisi ya Zanzibar kwa kushirikiana na jeshi la polisi imeendesha zoezi la kuwakagua na kuwakamata mawakala wa mitandao ya simu za mkononi wanaoendesha shughuli hizo kinyume cha sheria za TCRA. Zoezi hizo ambalo limefanyika eneo la darajani hapa Unguja huku Jumla ya mawakala zaidi ya 50 wamekamatwa kuendelea shughuli zao kinyume cha sheria. Akizungumzia zoezi hilo kwa ujumla Mkuu wa TCRA Ofisi ya Zanzibar Esuvatie Masinga amesema lengo la zoezi hilo  ni kufanya ukaguzi na kuwakagua mawakala na freelancer wanaosajili laini  kwa kufata sheria...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News