Mawakili wa Serikali Wadai Mahakama haina mamlaka kusikiliza Kesi ya muswada wa sheria ya vyama vya siasa

Serikali imedai Mahakama Kuu ya Tanzania haina mamlaka ya kusikiliza shauri la kupinga muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya Siasa.Hoja hiyo imetolewa leo Ijumaa Januari 11, 2019 na kiongozi wa jopo la mawakili wa Serikali, Wakili wa Serikali Mkuu, Mark Mulwambo, wakati akiwasilisha hoja za pingamizi la Serikali dhidi ya usikilizwaji wa shauri hilo.Wakili Mulwambo amedai katika dhana ya mgawanyo wa mamlaka katika mihimili mitatu ya dola kila mhimili uko huru kufanya shughuli zake bila kuingiliwa na mhimili mwingine.Amedai Katiba inalipa Bunge mamlaka ya kutunga sheria kwa mujibu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News