Mawaziri, wabunge vinara wa kuhudhuria vikao vya bunge watajwa

Fredy Azzah, Dodoma Baada ya kutaja mawaziri na wabunge watoro wa vikao vya bunge, Spika wa Bunge, Job Ndugai, ametaja majina mengine ya wabunge na mawaziri ambao wamekuwa na mahudhurio mazuri kwenye vikao vya kamati za bunge na vikao vya Bunge. Ndugai amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo Alhamisi Novemba 15, na kuongeza kuwa orodha hiyo inatokana na maudhurio ya wabunge na mawaziri kwenye mkutano wa 11 ambao ulikuwa wa Bunge la Bajeti ule wa 12. Spika Ndugai ametaja mawaziri wenye mahudhurio mazuri zaidi kuwa wa kwanza ni Waziri wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News