Mawaziri watatu sasa kikaangoni kupinduka kwa Mv Nyerere

Licha ya Rais John Magufuli kuchukua hatua kadhaa za kuvunja bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) na Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa) huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Temesa, Dk Mussa Mgwatu watu wa kada mbalimbali wamesema hatua hiyo haitoshi, kutaka mawaziri watatu wajiuzulu....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News