Mazishi ya Dr. Badriya Abubakar Gurnah, Mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Mabodi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Meh John Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dr. Badriya Abubakar Gurnal Mke wa Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Nyumbani kwao Mikoncheni Jijini Dar es salaam.  Dr. Magufuli akiifariji familia ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdallah Saadala kufuatia kifo cha Mkewe Dr. Badriya Abubakar. Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Juma Abdullah Saadala {Mabodi} Kushoto akimshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alipofika kumfajiri kufuatia kifo cha...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 23 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News