Mbelgiji abomoa ukuta Simba

ULE ukuta wa kikosi cha Simba ambao katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara, haujaruhusu bao lolote unavunjwa. Ndio huu ni ukuta uliokuwa ukiundwa na mabeki visiki Pascal Wawa na Paul Bukaba akisaidiwa na mabeki wa pembeni, Asante Kwasi na Shomary Kapombe, wakimlinda kipa Aisha Manula....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News