Mbelgiji afichua Okwi alivyoigomea Simba

NA MWAMVITA MTANDA-KIGALI KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amefichua kuwa alifanya jitihada za kumshawishi aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi ili asalie Msimbazi, lakini nyota huyo wa kimataifa wa Uganda aligoma katakata. Okwi mwenye umri wa miaka 27, ameachana na Simba, baada ya mkataba wake kumalizika msimu msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku kukiwa na taarifa kuwa anakaribia kujiunga na Fujairah FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE). Mshambuliaji huyo, amekuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha Simba, tangu alipojiunga nayo mwaka 2009, akitokea...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 21 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News