Mbelgiji akili nyingi

NA WAANDISHI WETU KUTOKANA na Simba kukabiliwa na mechi mbili muhimu, kocha wa timu hiyo, Patrick Aussems, ameonyesha ana akili nyingi sana kutokana na hesabu zake anazopiga kukabiliana na michezo hiyo. Simba inakabiliwa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Lipuli utakaochezwa Novemba 21, mwaka huu kabla ule wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows, Novemba 27 zote zitapigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Katika kukabiliana na mechi hizo kocha huyo Mbelgiji, Aussems, ametuliza wachezaji wake na kuwataka kuachana kuifikiria Mbabane Swallows, akitaka...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News