M-BET kuwapeleka Afcon Misri mashabiki wa soka

NA MWANDISHI WETU KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-BET, itapeleka mashabiki wa soka katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon2019) itakayoanza Juni 21 hadi Julai 19, mwaka huu, nchini Misri. Meneja Masoko wa M-BET Tanzania, Allen Mushi, alithibitisha hilo wakati wa kumzawadia Samwel Jonas, mkazi wa Karatu, mkoani Manyara, kitita cha Sh 125, 570, 420 alichoshinda baada ya kubashiri kwa usahihi michezo 12 ya droo ya Perfect 12. Mushi alisema mashabiki wa soka wanatakiwa kubashiri mechi 10 na kuingia katika droo maalumu ambapo washindi watakwenda Misri kuanzia...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News