M-BET kuwapeleka mashabiki wa soka Afcon Misri

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-BET itapeleka mashabiki wa soka katika fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) yaliyopangwa kuanza Juni 21 mpaka Julai 19 nchini Misri. Hayo yalisemwa na Meneja Masoko wa M-BET Tanzania, Allen Mushi wakati wa kumzawadia Samwel Jonas mkazi wa Karatu, mkoa wa Manyara, aliyeshinda kitita cha Sh 125, 570, 420 baadaya kubashiri kwa usahihi michezo 12 ya droo ya Perfect 12. Mushi alisema kuwa mashabiki wa soka wanatakiwa kubashiri mechi 10 na kuingia katika droo maalum ambapo washindi watakwenda...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News