Mbowe aeleza ukweli kuhusu Lowassa

HATUA ya Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imemsikitisha Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho Taifa. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 15 Machi 2019 Mbowe amesema, kazi ya Chadema na upinzani kwa ujumla ni kutengeneza wanachama wapya na kwamba, Lowassa alikuwa mwanachama mpya. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News