Mbowe alalamikia hotuba kuminywa, Ndugai amjibu

Wakati kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akisema kitendo cha baadhi ya maneno ya hotuba za kambi hiyo kuondolewa na Bunge hakikuwahi kutokea miaka ya nyuma, Spika Job Ndugai amesema atafuatilia suala hilo na atalitolea ufafanuzi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 21 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News