Mbunge Ahmed Katani akana kujiuzulu

MBUNGE wa Tandahimba (CUF), Katani Ahmed Katani, amevunja ukimya na kuutangazia ulikwengu kuwa hawezi kujiuzulu wazifa wake wa ubunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni mjini Dodoma jioni hii, Katani alisema, hajajiuzulu nafasi yake na wala hawezi kujiuzulu. “Mheshimiwa Spika, napenda kuufahamisha umma kuwa mimi Katani Ahmed Katani, sijajiuzulu nafasi yangi ya ubunge. ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News