Mbunge aliyetuhumiwa kufumaniwa na mumewe abadilisha jina rasmi

Mbunge wa Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonnah Kaluwa ametoa taarifa ya kubadilisha jina kufuatia kuingia kwenye mvutano wa matumizi ya jina na mume wake Moses Kaluwa ambapo sasa atafahamika kwa jina la Bonnah Kimoli.Uamuzi wa Mbunge huyo wa Segerea umetangazwa leo Mei 16,2019 Bungeni jijini Dodoma kupitia Spika wa Bunge, Job Ndugai ambapo amesema ameeleza kupata taarifa kutoka kwa mbunge huyo.“Nimetaarifiwa kuwa Mheshimiwa Bonnah amebadili jina na sasa anatumia jina la Bonnah Ladislaus Kamoli”, amesema Spika Ndugai.April 28, 2019 kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mbunge huyo wa Segerea ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News