Mbunge Ataka Wilaya Ya Tunduru Igawanywe, Serikali Yagoma

Serikali imesema imesitisha uanzishwaji wa maeneo mapya ya utawala hadi yaliyopo yaimarishwe kikamilifu.Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Josephat Kakunda, amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu Septemba 10, wakati akijibu swali la Mbunge wa Tunduru Kusini, Daimu Mpakate ambaye alihoji mpango wa serikali kuigawa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, mkoani Mtwara ambayo ina wilaya sita.Akiuliza swali hilo bungeni jijini Dodoma jana, mbunge huyo amesema; “Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru iliomba kuigawa wilaya hiyo ambayo ni kubwa zaidi mkoani humo ikiwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News