Mbunge CCM amtaka Waziri wa Viwanda kuirejesha Kariakoo ya zamani

Mbunge wa Kinondoni (CCM), Maulid Mtulia amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda kueleza mikakati anayoifanya kuhakikisha Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam linarejea katika hali yake ya zamani...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News