Mbunge CCM azungumzia kifo cha mfanyabiashara wa Arusha

Mbunge wa Arumeru Mashariki (CCM), Dk John Pallangyo amezungumzia kifo cha mfanyabiashara maarufu wa madini, Thomas Mollel maarufu kama ‘Askofu’ aliyefariki juzi Jumatatu akiwa jijini Dodoma akisema ni tukio ambalo limemsikitisha...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News