Mbunge Chadema ‘ataja sababu’ kipigo cha Taifa Stars

Mbunge wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga amesema huenda wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kulipwa posho kiduchu kumechangia kufungwa mabao 2-0 na Senegal katika mchezo wao kwanza katika Fainali za Mataifa ya Afrika (CHAN) zinazoendelea nchini Misri....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 24 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News