Mbunge CUF Apigilia Msumari Sakata la Makontena ya Makonda

Mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF), amemsifu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kwa ‘kuyang’ang’ania’ makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akimtaka kuyalipia kodi.Makontena hayo ambayo yaliingizwa Bandari ya Dar es Salaam kwa jina la mkuu huyo wa mkoa yakidaiwa kuwa na samani za walimu wa shule mbalimbali za Mkoa wa Dar es Salaam ambapo yalitakiwa kulipiwa kodi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), yakitakiwa kulipiwa kodi suala lilioungwa mkono na Waziri Mpango na kuamuru yazuiliwe hadi yatakapolipiwa kodi na yasipolipiwa yapigwe...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News