Mbunge Kabati: Mchungaji Msigwa ana bahati

RITA Kabati, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) mkoani Iringa amesema, mambo mengi anayozungumza Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, yanatekelezwa na serikali. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online kuhusu maendeleo ya jimbo hilo analotoka Kabati amesema, Serikali ya CCM imekuwa ikifanyia kazi hivyo jimbo hilo kupiga hatua. “Mimi naingia Jimbo la Iringa Mjini ambalo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 22 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News